KINGSOKA

KINGSOKA

YATAZAME MAGOAL YA BARCELONA NA MANCHESTER CITY HAPA

Yule yule mwanafunzi wake azidi kumtesa mwalimu wake, baada ya kumfunga akiwa na Baryan Munich sasa kaamua kumzalilisha mwalimu kwa kumpiga tatu.
na kumuacha mwalimu akikuna kichwa utazani ana rasta kumbe kipara
full time matokeo ni  Barcelona 4-0 Manchester city 
kweli mpiira hauna adabu 

kwa habari moto moto usisite kutembelea Djkingsoka