TAZAMA MAGOALI SITA YA ARSENA HAPA
Baada ya kuwa na muendelezo mzuri katika ligi, vijana hao wa jiji la lLondoni waendelea kuonyesha kama wanaweza.
hii ni video ya magoal yao sita yalio fungwa katika mchezo wao wa club bingwa barani ulaya
usikose kutembelea Djkingsoka kwa habari nyingi za kimichezo na burudani