KINGSOKA

KINGSOKA

BORA NIENDE SEHEMU YA NNE



BORA NIENDE(4)

Muongozaji:KING SOKA

Mawasilino:0717758864

Kutoka:DAR ES SALAAM

TUJIKUMBUSHE ..........
"Please baby subiri tuingie chumbani jamani mbona hivyo jamani.
Ooooooooooh ashiiiiiiiii ashiii oooshiiiti baby nini jamani uwiiiiiiiiii ooooh oshhiiii.

ENELEA→→→→→→→▼


"Baby nakuomba tuondoke na turudi chumbani.
Hapa siyo mahali salama kwa kazi hii, na siyo sawa kufanya kitendo hiki mahali hapa, kumbuka tuna mtoto na anaakili ya kiutu uzima hivyo anaweza akatoka baati mbaya na kuja msalani atasikia hii hali atakuwa anajifunza nini nini kama siyo tabia mbaya kumfundisha"
Aliongea mpenzi wangu huyo kwa sauti ya mahaba sana . Kitu kilicho nifanya mpaka leo nikiwa usingizi napata kuiota siku hiyo ya mwisho ya kufanya naye mapenzi ya mahaba mazito ambayo sikuwahi kufanya naye apo awali.
Siku hiyo ni kama Mungu alikuwa akinionyesha kitu maana aikuwa kawaida yangu kufanya tendo lile mpaka bafuni na wala sikujali sehemu zaidi nilijali ni kuinjoi na mke wangu naye ajihisi na samani katika maisha yangu. Haikuwa kazi ndogo iliyonifanya mpaka sasa inanifanya niikumbuke niikumbuka tena nikiwa ndotoni.
Bado ni usiku wa manane na nikiwa bado nimelala chumbani kwa mwanangu, huku funguo za nyumba nzima zikiwa nimeziweka mfukoni kwangu na kulala nazo, kwa kusubiri asubuhi ifike na ndipo niwahukumu watuhumiwa wangu ambao bado wapo ndani na hawawezi kutoka njee pasipo mimi kufungua mlango.

"Please acha jamani mbona leo umekuwa hivyo tani hata sikuekewi mara unifanyie hivi mara hivi mpaka nachoka sasa jamani mume wangu.
Jamani mbona lakini hivyo toa kidole basi Jamani unaniumiza na uwo ukucha wako mrefu jamani baby inauma inauma kitoe unaniumiza.
Mmmmmhaaaaaaa'oooooh, toaaa jamani oooyaaaashiiiiiii mmmmmmh.
Baby kumbuka tulipo si tuoge turudi chunbani.
Unaniumiza banah baby mbona hivyo vidile unaungiza kwa nini jmani au unapima nini sasa huko.
Ujui mwenzako nasikia maumivu katika nanii yangu punguza banah nakuomba punguza kidogo mpenzi naomba maana nimezidiwa sasa mda siyo mwingi napizi please baby niache nioge basi uriziki mbona chumbani nimekupa mpaka bafuni napo unataka napo.
Utanifanya nikonde.
Bora pakuche uondoke tu maana hii shuhuli siyo ya kawaida kabisa wiki moja utaniuwa kwa mwendo huu mmmmh mpaka nakuogopa mwa kwasi yako ya ajabu kiasi hiki dah nisamehe tu nioge kwanza tukamalizie chumbani lakini siyo hapa mume wangu please naomba nielewe jamani.
Oooooooh ashiiiiiiiii mhmhmhmhmhmhmh jamani baby nini leo umepatwa na nini kwani mbona hivyo nakuogopa sasa.
Oooh ooh oh oh oh oh oh oshiiiiiiiiii ashiiiiiiiii oiyaaaa oiyaa baby ingiza tu nimekuruhusu sasa maana sina ujanja ingiza baby jamani ingiza, mbona hivyo unanitesa jamani, au autaki? shida yako kuniweka weka vidole tu ndiyo furaha yako. Eeeeeh nambie nijue maana nimesha kuambia tuingie chumbani hutaki, haya nimekubali tufanye hapa wewe utaki, haya bwana mjanja wewe fanya unavyotaka mali si yako na unatumia utakavyo wala usijali mume wangu.
Nakuahidi nitakutunzia mpaka utakapo rudi kutoka safari . Yani hapa upo peke yako na wewe ndiyo mapigo yangu ya moyo kwako mimi nyang'anyang'a sisikii siambiliki mimi na wewe mile"
Nilistuka sana kutoka usingizi maana nilivyosikia ahadi zake na nimemfumania.
Ndoto nyingine hazifahi hata kuota maana ni maumivu juu ya maumivu.
Siku moja kabla ya safari mpenzi wangu alitoka kuniahidi ahadi nyingi kiasi kwamba sikuweza kuamini kama ni kweli anaweza akaananisaliti, na ndiyo naana mara ya kwanza nilivyo mfumania niliamua kuondoka kimya kimya na kwenda kutafuta chumba mbali ili niepushe shari maana iliniuma sana, lakini leo sasa ilinibidi kurudi kufumania ili kumuonyesha kama ninajua maovu yake. Na hitimaye nimefumania kwa macho yangu ndani ya chumba changu, kila kitu changu inauma sana kuona mwanamke unaempenda na kumsamini leo hii ndiyo anayekuwa chanzo cha kukuliza na kukusababishia jeraha moyoni mwako.

"Hivi ni kweli nipo ndani ya nyumba yangu! au nimekosea nyumba na kuingia kwa jirani, maana hata sielewi yani kweli mke wangu!
Kaamua kaamua kunivua nguo hazarani kihasi hiki cha kuniletea mwnaume chumbani kwangu!
Mpaka taulo langu anampa avae kweli, ni nini hasa nilichomkosea mke wangu mimi mpaka aamue kunitesa kiasi hiki.
Maana hata jibu silipati zaidi ya kuugua kichaa muda siyo mrefu.
Hapa asubihu sijui nitoe adhabu gani kwa watu hawa ambayo itakuwa ni adhabu ya kuigwa na kuwa fundisho kwa wanaume wengine wenye tabia kama hizi na wanawake pia iwe mfano kwao mpaka Tanzania nzima ijue.
E Mungu nimekosasa nini mimi kwako mpaka nistahili haya yanipatayo, tazama nafanya kazi ngumu usiku na mchana kutafuta furaha ya familia yangu lakini baati inakuwa siyo yangu naambulia maumivu kiasi hiki cha mimi kubaki nalia peke yangu nyumbani njia na popote niendapo bado inajirudi hata nikilala bado aziishi hizi ndoto za matukio ya mke wangu nifanye nini mimi jamani kwa hali hii BORA NIENDE nisamehe kama nakoaea nimeshindwa mimi kuvumilia.
Nilijikuta nikitokwa na machozi peke yangu nilipokuwa nimejifungia chumbani kwa mwanangu huku mwili mzima mkinitetemeka kwa asira.

"Hodi mume wangu. Fungua mlango nikuambie nina maongezi na wewe japo najua uwezi nisikiluza.
Mume wangu najua nimekukosea sana na upaswi kuumia kiasi hiki ikiwa kosa nilakwangu.
Tazama sasa kumekucha mume wangu amka saa tano sasa imefika bado ujaamka fungua mlango nakuomba mume wangu .

ITAENDELEA..................