KINGSOKA

KINGSOKA

VIJANA WA WENGER WAFANYA KUFURU HUKOO

Baada ya ushindi wa goal 6 kwa sifuri zidi ya wabinzani wao.
vijana wa mzee Arsene Wenger , maharufu kama Prof Wenger hapo wakiwa katika picha ya pamoja- huku nyota wake na bibwa wa pasi za mwisho akiwa ameshikilia mpira wake, baada ya kufunga magoal matatu(Hatrick)

Ozili kwa sasa yupo katika kiwango kizuri, na yupo tofauti na msimu jana .
tulizoea kumuona akitoa pasi za mwisho, lakini prof Wenger kama kambadilisha hivi- sasa ni Ozil magol.
huku Sanchez akiwa ndiyo mtoa pasi za mwisho.

ushindi huo wa magoal hayo sita yamepachikwa nyavuni na
Alex Sanches aliyeipatia goli la mapema tu arsnal.
huku Walcot kijana aliyekwenye kiwango kizuri kwa sasa naye akijipatia Goal lake , na kumfanya katika wastani mzuri na kipindi kizuri ndani ya kilab hiyo ya washika bunduki.
Magoal mengine yalitiliwa nyavuna na Ox chambalain, huku Mgerumany huyo ozil akiifungia Arsenal magoal matatu.

kwa habari moto moto za kimichezo na kisanaa usikose kutembelea Djkingsoka