BORA NIENDE SEHEMU YA TANO
BORA NIENDE(5)
KING SOKA
PHONE:+255717758864
DAR ES SALAAM_TZ
PAGE
#STORY_ZA_KING_SOKA
Email address
jacksonsoka@gmail.com
Ni asubuhi ya saa
tano, jua kali njee linawaka, nilistuka kusikia mlango ukigongwa huku mke wangu
akiwa anaongea peke yake huku akiendekea kugonga mlango wa chumba nilichokuwa
nimelala.
Sliendelea kugonga
bila kusikia majibu kutoka kwangu huku akionyesha kukubali kosa na kuniomba
nifungue mlango kusudi tuongee.
Moyoni nilijiuliza
sana ni kweli kieahisi rahisi hivi nifungue mlango na kuanza kumsikiliza kweli
aikuwa rahisi hata kidogo kukubaliana na swala hilo.
Moyoni nilibaki
nikimfikiria sana bila kupata majibu nilitamani nifungue mlango kisha nitoke
njee na kuita Majirani waje washuhudie lakini roho ilisita.
Nilijikuta nikianza
kutokwa na chozi upya uku ikiwa ndiyo kwanza nimetoka usingizini.
Usingizi uliokuwa
ukinikumbusha siku ya mwisho ya ya kukutana kimwili na mpenzi wangu(mke wangu)
siku iliyobaki imeganda akilini mwangu, kutokana na mambo tuliyoyafanya siku
hiyo, na kuwa ndiyo siku yangu ya mwisho kufurahi na mke wangu kipenzi
niliyempenda kuliko mwanamke yeyote maishani mwangu na katika dunia hii kwa
ujumla.
Baada ya lisaa limoja
na dakika kadhaa kupita, taratibu niliamua kufungua mlango ili nitoke njee ya
chumba cha mwanangu ili niweze kusogea sebleni kusudi niweze kuwasikiliza
wagoni wangu.
Tena nikiwa sina hata
chembe ya hasira moyoni mwangu, na sijui hata ujasiri huo niliupatia wapi kwa
dakika chache tu, wakati nilitoka kudondosha machozi muda mfupi uliopita.
Hamadi ile nafungua
mlango nilikutana uso kwa uso na mke wangu uku akiwa anefuga kanga moja tu
mwilini mwake huku sehemu kubwa ya maumbie yake yakionekana na kumfanya
mwanaume yeyote ambaye angepata kumuona ni lazima angemtani kutokana na mavazi
aliyokuwa ameyavaa, huku akiwa hana kitu ndani ya mwili wake zaidi ya chupi na
sidiria iliyo yastiri maziwa taye, niliyo yapenda kuyachezea kila wakati
nilipokuwa naye eneo la tukio tukijiandaa na kufanya mapenzi hata wakati wowote
ninapo kuwa karibu naye nilikuwa nikivutiwa sana na chuchu zake saa sita kama
ilivyo kwa vijana wengi upendelea kuziita hivyo chuchu zilizo simama.
Nilishangaa kumuona
pia jamaa aliokuwa akimfaidi mke wangu naye akiwa nyuma ya mke wangu huku akiwa
amepiga magoti akionyesha kila dalili za kukata tamaa na akiwa anatetemeka sana
kiasi kwamba huruma iliniingia moyoni mwangu na kubaki nikitikisa kichwa kwa
uchungu huku nikifuta machozi tu, yaliyokuwa hayakauki machoni mwangu, kila saa
nilivyo mkumbuka mke wangu kwa matukio niliyo yaona na kuyasikia
Ilinifanya nizidi
kudondosha chozi tu.
"Mume wangu
nitaificha wapi sura yangu mimi mwamamke nisiyekuwa na haya, nimekukosea sana
mume wangu naomba unisamehe au niadhibu uwezavyo najua za mwizi ni arobahini na
mimi zangu zimetimia leo, mume wangu nahitaji msamaha wako wa aina yoyote mimi
nitarizika pia adhabu ya aina yoyote mimi nipo tayari kuipokea mume wangu
naomba nisamehe naomba nisamehe naomba mume wangu.
Sijui ni shetani gani
kanidanya mpaka kufanya jambo hili! nakuahidi sinto rudia tena mume wangu amini
ninacho kuambia mume wangu.
Na nikirudia tena
nikatie shingo yangu chini na uizike sehemu hata maiti yangu isije onekana ata
na mbwa akaifukuwa na kuirudisha kuniani maana itakuwa nimekutonesha jeraha la
moyo wako"
Aliongea mke wangu
huku ajijicgagulia adhabu na kika kitu kwa kufahamu kosa lake.
Nilibaki
nikimuangalia tu usoni jinsi alivyokuwa gana aibu kwa maneno yake aliyo kuwa
akiyaongea.
Nilitamani ata
nimpige kofi lakini nilishindwa kwa jinsi nilivyokuwa na hasira ningeweza
nikauwa na badae nikaambulia kifungo cha kujitakia.
"Hivi huyu mwanamke
nimfanyaje mimi jamani, mbona hivi mimi nimesha muachia mungu nani mimi tu
nimebaki kuondoka katika nyumba hii na mwanangu, na yeye nimuache na maisha
yake aliyo yachagua maana sikaniona mimi boya sina akili kwa kumuowa na kumueka
ndani na leo ananiletea mwanaume ndani kwangu bora niwaache wawili waliopenda
mimi wakati wangu umeisha na sasa ni wakati wake lakini atanikumbuka, huyu mimi
sijamkosea kitu leo kaamua kunifanyia hivi.
Kweli mjinga ni mimi
ninayetunza wenzangu wanachukua tena kirahisi kabisa, tena bila aibu wala uoga
anakuja kupatia utamu wa mke wangu ndani ya nyumba yangu chuma changu na
kitanda changu anaketa mabwana"
Nilibaki nimesimama
mlangoni nikishindwa kwenda mbele wala kurudi nyuma nilibaki nimeganda kama
nyamavu mlangoni tu, kwa bumbuwazi la kushangaa tu huku nikilowa mashavuni kwa
machozi .
"Mume wangu
mbona utaki kuongea au ndiyo unafikiria azabu ya kuniadhibu maana mpaka
nakuogopa kwa jinsi ulivyo simama kama unataka kunirukia nambie kama nisali
sala zangu za mwisho nijue naenda kufa maana najua hukumu yangu ni kifo na kama
siyo kifo sijui mpenzi.
Nimeteleza naomba
nisamehe narudia tena kusema sinta rudia tena na nikirudia itie roho
yangu"
Aliongea mke wangu
huku akiwa abafuta achozi kwa kulia.
Sijui ni kweli au ni
danganya toto tu.
Lakini mimi msimamo
wangu ni ule ule BORA NIENDE na nimuache pekeyake.