KINGSOKA

KINGSOKA

TUNAPENDANA -INTRODUCTION(UTANGULIZI)

TUNAPENDANA
INTRODUCTION(UTANGULIZI)
NA KINGSOKA
0717758864
Sikuwahi kufikiria kama na mimi ipo siku nitatamkiwa neno nakupenda Jack.
Hiyo ilinifanya niyachukie mapenzi na kuona ni zaidi ya sumu kali, kaka yangu naye hakuwa nyuma kunisihi kuachana na mapenzi.
Nilijifanya mjinga na nilizaraulika sana shuleni, ilifikia mpaka nilitengwa na shule nzima wakiniita mimi shoga.
“toka hapa , hatukai na mashoga shuleni kwetu’
Kauli zile zilikuwa ni kama nyimbo kwangu kwani ilikuwa ni shule nzima.

Na kila nilipo onekana niliambulia matusi na kupigwa kama kibaka(mwizi) aliyeiba sokoni.
Hali ile ilinitesa sana na kunifanya niichukie shule nzima, hata mtu aliyejifanya kunipenda nilimuona mnafiki na kuamua kufanya nilichokuwa nikikijua mimi.
Hapo binam nilitamani hata kujiua lakini msichana mmoja aliyaokoa maisha yangu, nilichukizwa sana na kitendo kile.
“ole wako ukatangaze shule, maana sijui wewe ni mchawi wangu? Maana kila ninachokifanya upo nyuma yangu”
“mimi siyo mchawi ila ni mapenzi tu”
“embu toka hapa! Utanipenda vipi mimi masikini fukara nisiyekuwa na hata chembe ya thamani mbele ya macho ya watu? Wewe ni mzuri na unavutia asilimia kubwa ya wanafunzi hapa shuleni, au umetumwa uje unichunguze kama kweli mimi ni shoga.
Kweli mimi ni shoga lakini nimekuja kusoma na siyo mapenzi, ila siku ikifika itajulikana kama ni shoga au siyo.
Naomba niache tena nenda zako , haya ni maisha yangu niliyo yachagua”
“Jackson barua hii ni yakuwaita wazazi wako shuleni hapa maana tumechoshwa na tabia yako- mwanafunzi mmoja kila siku utuumize vichwa vyetu watu wazima na akili zetu!.
Kila siku matukio ya ajabu , inamaana wanafunzi wengine hawajui kudin** wewe peke yako ndiyo unawajua wasichana.
Wanafunzi unabaka, walimu unawataka kimapenzi- shule nzima sasa unataka kutembea nayo”
“maisha gani haya umeyachagua wewe?
Kwa nini huna ubinadamu wewe? Umesa kama wewe ndiyo ulikuja kusoma na siyo mapenzi? Leo imekuwaje mpaka umekuwa hivi
Huku wanafunzi kule wadada wa mitahani
huku walimu kule wauza baa, bado uridhiki mpaka wadada wa kantini!”
“mkuu hapo ni kunionea, nilikuwa shoga sasa leo inakujwaje nimebaka”
“kweli hii haiwezi kutokea, umesahau wewe ulimdhalilisha ndani ya ofisi mkuu/ ulimvua nguo zote ukimuita shoga na video ya ngono ulimuwekea lakini hakuamka.
na hapo uridhihirisha huyu ni shoga na mbele ya shule nzima ulimtangaza, leo inakuwaje kabaka?"
“nakupenda jack, na hata nikiolewa naomba usinisahau- zawadi hii nakupa ni kama ishara ya upendo kwangu, nitakupenda siku zote hata kama nikiolewa na wewe ukiowa.’
“naomba kwanzia sasa niite baby , na swala la kuniita Teacher iwe ni shuleni tu, lakini hapa ni unite baby”
“poa mimi naondoka na utanikumbuka”
“akukumbuke nani?’
“nakupenda , naomba nisamehe nay ale yote niliyokuwa nikifanya haikuwa kusudio langu”
“naomba nikome , tena nikome, nimesha mpata mpenzi wangu , na subiri umuone hapo.”
“alafu wewe boya masuala ya kumfuatilia mpenzi wangu sitaki, nitakuua"
“tunakufaaaaaaaaaaaaaaaa, moto jamani moto tunateketea”
Je ilikuaje mpaka tukawa tuanpendana ,je ni kweli alikuwa shoga?
usikose nakala yako sasa kwa tsh5000
Facebook,, email .
Lipa hapa 0717758864
Whatsapp namba 0717758864
Haitopostiwa mtandaoni ila kwa wewe ni mteja na unaitaji kuisoma lipia utatumiwa inbox.