KINGSOKA

KINGSOKA

LIVERPOOL & MANCHESTER UNITED

bado masaa machace kuelekea mechi kali , inayo wakutanisha mahasimu wawili .
nini maoni yako
UKU kocha muongeaji maharafu kama Mou
huku kocha mwenye midada Klop
ukikosa hii dah
game ni saa 22;00 usiku kwa saa za hapa Tanzania na Africa ya kati