BORA NIENDE SEHEMU YA KUMI
BORA NIENDE(10)
KING SOKA
PHONE:+255717758864
DAR ES SALAAM_TZ
PAGE
#STORY_ZA_KING_SOKA
Email address
jacksonsoka@gmail.com
ILIPO ISHIA→↓↓↓↓↓↓↓↓↓→←↓
"Mimi siendi
sehemu mbona napewa kesi nisiyo ijua milioni sabini na tano ningechukua mimi
kazini bingefuata nini kama siyo ni uonevu huu.
Boss unanione mimi
chinguza kwanza"
Niongea uku
nikiburuzwa kuelekea kuelekea ilipo gari ta police.
SONGA NAYO》》》》》》↓
Nilichukuliwa juu juu baada ya kuleta ujeuri
nikiwa sitaki kuondoka na police.
Baada ya kufikishwa katika gari nilipigwa virungu
bila hata kosa wakiniita mimi jambazi.
Hatimaye ndani ya mwezi mmoja sasa bado nipo
maabusu nikiwa sijui hata ni lini nitatoka au ni lini nitasomewa sitaka langu
angalau ata nijitete mahakamani.
Lakini haikuwa rahisi wala hata kufikishwa
mahakamani bado miezi ilizidi kukatika bila kuhukumiwa kila nilipo fikishwa
mahakani kisingizio kilikua ni ushahidi haujakamilika hivyo nilirudishwa
naabusu kuendelea na azabu za kila mara kufinywa na mitambo maalumu ya mateso.
Nilibaki kutazama watu wakija na kutoka na
kusomewa mastaka lakini mimi haikuwa rahi kufanyiwa hivyo.
Hatimaye siku ya siku ikafika tena kwa mara ya
tano nikipandishwa kizimbani bila kupa hukumu yangu.
'Asante Mungu bora niende nukaukumiwe tu maana
nimepachoka hapa ndani kila siku nipo hapa hapa wenzangu wanakuja na kuondoka
lakini mimi sijui ni lini nitatoka maana nimechoka mateso ya kila siku mpaka
jela imenizoeya sasa miezi saba sasa nipo hapa kila siku narudishwa hapa
hapa"
Niliongea kimoyoni wakati nikipandishwa katika
karandinga la police na kupelekwa mahakamani.
Kwa mara ya kwanza nilipata nafasi ya kuongea
mahakamani.
"Jackson! Mnamo tarehe23/5/2006 Unatuhumiwa
kwa kosa la upotevu wa jiasi kikubwa cha pesa cha bwana Petter.
Je una chochote juu ya tuhuma hii inayo
kukabili"
Aliongea akimu akiefahamika kwa jina la Matha.
Nilijitahidi kwa kadri niwezavyo kuueleza ukweli wangu
lakini nilishindwa na kesi bado ikawa imenielemea mimi.
Ikionesha kila dalili ya kesi kuelemea upande
wangu.
Nilirudishwa tena mahabusu tena kwa mara nyingine
nikiwa hata sielewi nini Hatima yangu ya kuendelea kuishi mahabusu.
Hapo ndipo nilipo amini palipo na pesa hata sheria
inakuwa kipofu.
Maana kwa ufahamu wangu mahabusu mtu akai wiki
mbili na zaidi lakini mimi nilishamaliza miezi ya kutosha mahabusu.
Siku ya mahakama kwa mara nyingine tena iliwadia
na ndiyo ilikuwa siku ya hukumu kutolewa .
Hatimaye nilikaa kwa makini kusikiliza hukumu
yangu itakayo tolewa na mahakamani na kwenda kuanza kuitumikia.
Huku aliokuwa akiisikiliza kesi yangu siku hiyo
ndiye akiokuwa akitoa hukumu yangu.
"E Mungu tenda muujiza wako uweze kuishangaza
dunia kwa mimi kuishinda kesi hii nisiyo itambua wala kujua kisa chake lakini
boss ameamua kunibambikia kesi ili anitese tu.
Au ana makusudio yake siwezi kujua nacho omba
Mungu utende muujiza wako tu baba maana sina ujanja mpaka sasa kila ninapo
jaribu kuongea ukweli bado naonekana muongo tu na hakuna anae niamimi zaindi ya
wewe ndiye unatetambua nazungumza ukweli au nadanganya"
Niliongea peke tangu! Huku nikiwa ninejiinamia tu.
Nikiwa nasubiria hukumu yangu na siyo kitu kingine
maana kila kifu kilionesha mimi ni muizi hata mashaidi walikuwepo wakitoa
ushaidi wa kunikandamiza mimi.
Sikutaka kuamimi baada ya hukumu kutoka
nilijikojolea pale pale kizimbani na kudongoka chini na kupoteza fahamu.
Kuja kuzinduka nilijikuta nikiwa nyumbani kwangu
lakini haikuwa nyumba tangu tena maana saa yoyote ilikuwa inapigwa mnada ili
ipatikane pesa ya boss milioni sabini na tano.
"Inamaana ni kweli nyumba yangu inauzwa kwa
kesi nisiyo ifahamu huyu boss lazima nihusike na kifo chake kinyume na Hapo
bado sinta ishi kwa raha maishani.
Nimesha kuwa masikini sasa narudi katika nyumba ya
kupenda sasa.
Na bora hata sijaowa maana ningeishi vipi maisha
haya ya kupanga.
Chumba kimoja na mke na mtoto kweli.
Bora nirudi kijijini lakinu maisha ya mjini
yamesha nishinda kama nyumba sina tena hapa muda wowote inapigwa mnada.
Na nabaki bila hata kitu chochote .
Niliongea mimi wakati nikiwa nimekaa kibarazani
kwangu katika nyumba tangu ambayo siku siyo nyingi inapigwa mnada.
Maisha yangu yalikua ni ya pombe pombe na mimi
huku nikisubiri nyumba yangu kuuzwa huku nikiwa sina kazi wala sina maali pa
kukaa tena endapo nyumba yangu itauzwa.
Maisha kwa kiumbe mimi yalizidi kuwa magumu huku.
Maisha ya umalaya ndiyo yaliyochukua maisha yangu.
Nakumbuka siku niliyolala na changudoa niliyo mtoa
buguruni katika nigth club.
"Oooh ooooh oooh unaniumiza mseng... wewe
unazani hii k..m ni shimo unaingiza tu, na kutoa kama unavyofanya.
Kama ujui tafuta wanawake wengine lakini mimi siyo
uwanja wa mazoezi.
Kama uwezi kusex kistarabu nipishe niondoke zangu
nikawatafute wenzako wanaojua kutumia mashine zao.
Mtu umejaaliwa nanii kubwa lakini uwezi kuitumia
wewe vipi muda wa kazi huu, mtu mwenyewe unaonekana mlugaluga tu sijui umetokea
sigimbi.
Najuta hata kukutana na wewe"
Aliongea msichana niliyetoka naye club na kumlipa
pesa kwa ajili ya kulala naye baada ya kuwa nimelewa sana.
"Hivi wewe unazani pesa inaokotwa 30000|-
Siyo pesa ya kutania kama utaki lete pesa yangu
utambae zako kwanza usizidi kunichanganya hapa.
Maana hata sikuelewi kwanza unaguna kiuwizi uwizi
naomba uniache tu nifanye kazi yangu mbona pesa yako ulivyotaja nimekupa bila
pingamizi"
Niliongea mimi
"Unasemaje wewe mseng..."
ITAENDELEA...............
Jack sasa ndiyo anapunguza matatizo au anaongeza.
Nyumba inauzwa sijui itakuwaje kweli atarudi
kijijini au ndiyo inabidi akomae na jiji yote yapo huku huku ndani BORA NIENDE.